Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Huyu dogo mi mwenyewe ndio naliona jina leo, anyway nimejua kuna jina kama hilo jf.
ha ha ha wengine huwa wanafelishwa makusudi
Ukisema hivyo nitarudisha sasaIla bora umerudisha hili jina mwenza, lile hapana[emoji134]
Hapana mimi niko fairha ha ha wengine huwa wanafelishwa makusudi
Ni tangu 2011 Mkuu na siyo 2012
Rudisha.
Wewe mimi?Naona unataka nikuingizie tigo pesa tuma namba
Sawa kiongozi kwa kuweka rekodi sawaNi tangu 2011 Mkuu na siyo 2012
Huyo pia namjua we ndo sikujuiWivu wa kike ndio maana gentamycine anawapa makav watu kama nyie
Labda ni accnt yako hapo anasema basi nakujuaHa ha ha ha ungejua
My dada unanifurahishaga vile uko positive wakati wote. Hivi huwa unakasirika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata ajali na hiyo gari siku netanyahu anakuja rwanda miaka minne imepitampk Leo sijaigusa so gari kwangu sio ishu lofa weweHuyu dogo mi mwenyewe ndio naliona jina leo, anyway nimejua kuna jina kama hilo jf.
Kwa Ushauri tu: kijana bado ni mdogo ukute una ka spacio sasa ukishika na chupa na maji wakati unashuka mwenyewe unaona maisha ushamaliza take care dogo..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122]Aahahahhahaaaa Khatwe asante Kwa maono yako, kuhusu kukasirika huwa nakasirika na nashikwa na hasira haswa ila haikai masaa mengi narejesha tabasamu langu....na nikikasirika ujue imenifika pomo...aka uvumilivu umenifika mwisho.
Kuhusu kuwa positive naona ni hulka like nimezaliwa au nimekuzwa na mitazamo hiyo....
Nilipata ajali na hiyo gari siku netanyahu anakuja rwanda miaka minne imepitampk Leo sijaigusa so gari kwangu sio ishu lofa wewe