Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Mara nyingi humu jamvini mtu akija na changamoto ya kuachwa au kukataliwa watu huwa wanashauri tafuta pesa, nunua gari na blah blah nyingine.
Sasa swali langu ukiwa na pesa, unamwita mdada unamwambia mimi nina wekundu kadhaa nikubalie? Au ukiwa na gari unawapataje sasa mimi naona kama unakuwa umepunguza interaction maana kwenye public transport unakoweza kuwaotea. Hapa sizungumzii milupo na malaya wa viwanja.
Naombeni majibu maana naona kwangu bado mambo bila bila [emoji3][emoji3]