Hivi "mkitoka" ni lazma mle na kunywa?

Hivi "mkitoka" ni lazma mle na kunywa?

sawa,
kwani lazma mle kiongozi
hamuezi kwenda mahali mkapumzika tu kupass time mkarudi kwenu?
 
Mnanunua vitu special ambavyo ata mwaka mzima hamjala, yani mshangao tu kama hivyo 😁
 
Wewe utakuwa mchoyo wewe
Yaani tuongee tunaangaliana tu....bora tupigiane simu tuongee tumalize
 
Kama Ndiyo hivyo si bora kuchart kwenye simu tu, mtoko una raha yake

Japo mtoko kwa watu wenye smart phone haina maana unakuta Mme toka watu wako busy na simu zao hata kama ulikuwa na jambo lako huwezi kuliongea
 
Back
Top Bottom