Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Maji hata nyumbani yapoEti wakuu ivi kuna ulazima?
Maana naona kila mtoko ni unaambatana na full minyama choma n.k.
Kwani hamuezi kuchill tu sehemu mkastorika tu na labda kupooza koo kwa maji kidogo?
ishu sio maji au kinywaji ni kubadilisha mazingiraMaji hata nyumbani yapo
Kutoka maana yake ni kula na kunywaishu sio maji au kinywaji ni kubadilisha mazingira
Bora ubaki nyumbaniMaji hata nyumbani yapo
kwaiyo km hamna pesa [ya kula na kunywa] hamna mtoko au?Kutoka maana yake ni kula na kunywa
Au wangepigiana simu kiisheHiyo mimaji si mngekunywa nyumbani kwenu na mkastorika km rahisi ๐น
Umekunywa sparkling water wewe mrembo?Maji hata nyumbani yapo
Wangestorika kila mtu na kombe lake la maji ๐น๐นAu wangepigiana simu kiishe