hivi mlikutana wapi?

hivi mlikutana wapi?

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,332
wana JF unajua two couples always have a long history hadi wanapofikia kuishi pamoja au kuoana,kuanzia kukutana kwao pamoja na mengi wanayopitia,wengine walikutana bar,wengine beach,wengine disco,wengine kwenye daladala,wengine chuoni au shuleni,wengine kazini na wengine kwenye matatizo,yani sehemu ni nyingi siwezi kuzitaja zoe,hebu leo tukumbushane nyie mlikutana wapi?
 
Bao hatujakutana tukikutana ntajibu kwa ufasaha
 
wana jf unajua two couples always have a long history hadi wanapofikia kuishi pamoja au kuoana,kuanzia kukutana kwao pamoja na mengi wanayopitia,wengine walikutana bar,wengine beach,wengine disco,wengine kwenye daladala,wengine chuoni au shuleni,wengine kazini na wengine kwenye matatizo,yani sehemu ni nyingi siwezi kuzitaja zoe,hebu leo tukumbushane nyie mlikutana wapi?

kwa mama ntilie
 
jinsi mambo yanavoenda nakumbuka niliingia choo cha kiume
 
Back
Top Bottom