wana jf unajua two couples always have a long history hadi wanapofikia kuishi pamoja au kuoana,kuanzia kukutana kwao pamoja na mengi wanayopitia,wengine walikutana bar,wengine beach,wengine disco,wengine kwenye daladala,wengine chuoni au shuleni,wengine kazini na wengine kwenye matatizo,yani sehemu ni nyingi siwezi kuzitaja zoe,hebu leo tukumbushane nyie mlikutana wapi?
Enzi zetu sisi ilikuwa hutafuti mchumba, unapendekezwa tu.
fafanua plz kwani ilikuaje?
why?
hahaha hapo patamu maana sidhani kama chakula kilipanda tena[/QUOTE}
aCHA KABISA HAYO MABO KIJANA LADHA ILIZIDI MARA 20000