Hivi mlima Kilimanjaro unaliingizia Taifa kiasi gani cha mapato kwa mwaka? Tija ipo au atafutwe mwekezaji?

Sijawahi kusikia CAG akielezea Taifa linafaidikaje na Utalii kwenye Mlima Kilimanjaro

Labda CAG mstaafu mh Uttoh atusaidie kutupa data kupitia taasisi yake I Uwajibikaji

Ahsanteni Sana

Mlale Unono 😃 😄
Hata wewe huingizi chochote tumpe mwarabu akuchukue.. kwa mkataba wa miaka99
 
Sijawahi kusikia CAG akielezea Taifa linafaidikaje na Utalii kwenye Mlima Kilimanjaro

Labda CAG mstaafu mh Uttoh atusaidie kutupa data kupitia taasisi yake I Uwajibikaji

Ahsanteni Sana

Mlale Unono 😃 😄
Na wewe mkeo umemzalisha watoto wa kutosha na unamshugulikia inavopaswa au tukutafutie shababi mwekezaji?
 
FB_IMG_1725302215835.jpg
 
Sijawahi kusikia CAG akielezea Taifa linafaidikaje na Utalii kwenye Mlima Kilimanjaro

Labda CAG mstaafu mh Uttoh atusaidie kutupa data kupitia taasisi yake I Uwajibikaji

Ahsanteni Sana

Mlale Unono 😃 😄
Tija ipo kuna watanzania wamejiajiri hapo kupandisha watalii mlimani, kwa upande wa serikali tija ni kidogo sn wizi umejaa
 
Back
Top Bottom