Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Walikusifu uzi wa msafara, wanakuponda ulivyoiongelea Chadema..Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini?
Tuelezeni wananchi mlivyomalizana na CAG kabla huko Bungeni awajaanza kuwapopoa mkakosa wakuwasemea. Kumbukeni hii report uwa inaingizwa bungeni nakujadiliwa japo kibongobongo spika anaweza itia kapuni akiona haipi yeye na chama chake agenda zakujimwambafai. Nakumbukeni mna Mbunge mmoja tu bungeni,, tuambieni mmepata hati gani?
Mlisema magufuli anaua upinzani mwisho wasiku kafa yeye. Malipo ni hapahapaMbowe hata mazishi hakwenda aliogopa kukamatwa na TAkukuru anaishi kwa kujificha anakolala hakujulikani
Marehemu amefanya uamuzi wa kiume wa Kuikimbia kesi ya ICCChadema kwani ipo si tunaambiwa magufuli kaua upinzani mwisho kaishia kufa yeye?
Mbowe hata mazishi hakwenda aliogopa kukamatwa na TAkukuru anaishi kwa kujificha anakolala hakujulikani
Hekima na busara kwa nini tumenyimwa sana au ni malezi ya viongozi wetu ndo yanatufikisha hapa, tuache kuchochea mabaya kwa manufaa binafsi.Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini?
Tuelezeni wananchi mlivyomalizana na CAG kabla huko Bungeni awajaanza kuwapopoa mkakosa wakuwasemea. Kumbukeni hii report uwa inaingizwa bungeni nakujadiliwa japo kibongobongo spika anaweza itia kapuni akiona haipi yeye na chama chake agenda zakujimwambafai. Nakumbukeni mna Mbunge mmoja tu bungeni,, tuambieni mmepata hati gani?
Mimi siyo mwanachama wa Chadema! Ila sijaona logic kuja na mada inayo iongelea Chadema tu na wakati vyama vya siasa na vyenye sifa ya kukaguliwa na CAG ni vingi!Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini?