GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wagombea ni.......
1. Steven Mguto ( Coastal Union )
2. Dkt. Mshindo Msolla ( Yanga SC )
3. Murtaza Mangungu ( Simba SC )
TAKUKURU upesi sana anzeni kutupa Jicho lenu huko ( hapo ) kwani nimepenyezewa kuwa kuna 'Rushwa' za 'Mamilioni' zimeanza Kugawiwa kwa Wapiga Kura.
Kwa afya ya Soka la Tanzania GENTAMYCINE napenda Mzee Steven Mguto apite kwani bila 'Unafiki' najua akipita wa Simba SC yangu au wa Yanga SC piga ua Ligi itaharibika na Mpira wetu Kuchafuka.
Tafadhali wapiga Kura mpeni Mguto.