GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uyo mguto unaempigia chapuo si ndo aliwai kusema wameisahau yanga kwenye ratiba ya ligi lakini wakaikumbuka lipuli ya njombe🤣🤣🤣Wagombea ni.......
1. Steven Mguto ( Coastal Union )
2. Dkt. Mshindo Msolla ( Yanga SC )
3. Murtaza Mangungu ( Simba SC )
TAKUKURU upesi sana anzeni kutupa Jicho lenu huko ( hapo ) kwani nimepenyezewa kuwa kuna 'Rushwa' za 'Mamilioni' zimeanza Kugawiwa kwa Wapiga Kura.
Kwa afya ya Soka la Tanzania GENTAMYCINE napenda Mzee Steven Mguto apite kwani bila 'Unafiki' najua akipita wa Simba SC yangu au wa Yanga SC piga ua Ligi itaharibika na Mpira wetu Kuchafuka.
Tafadhali wapiga Kura mpeni Mguto.
Yanga timu ndogo sana Ila Ni timu iliyozeeka.Uyo mguto unaempigia chapuo si ndo aliwai kusema wameisahau yanga kwenye ratiba ya ligi lakini wakaikumbuka lipuli ya njombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli bora Mguto apite kupunguza mawenge kwenye ligiWagombea ni.......
1. Steven Mguto ( Coastal Union )
2. Dkt. Mshindo Msolla ( Yanga SC )
3. Murtaza Mangungu ( Simba SC )
TAKUKURU upesi sana anzeni kutupa Jicho lenu huko ( hapo ) kwani nimepenyezewa kuwa kuna 'Rushwa' za 'Mamilioni' zimeanza Kugawiwa kwa Wapiga Kura.
Kwa afya ya Soka la Tanzania GENTAMYCINE napenda Mzee Steven Mguto apite kwani bila 'Unafiki' najua akipita wa Simba SC yangu au wa Yanga SC piga ua Ligi itaharibika na Mpira wetu Kuchafuka.
Tafadhali wapiga Kura mpeni Mguto.
Jinga sana huyo hafai hapo ni msola tuUyo mguto unaempigia chapuo si ndo aliwai kusema wameisahau yanga kwenye ratiba ya ligi lakini wakaikumbuka lipuli ya njombe🤣🤣🤣
Mawenge yanapunguaje yupo karia pale juu hapo ni msola tu kubalansi mamboKwa kweli bora Mguto apite kupunguza mawenge kwenye ligi
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuwa na Aman sisi watu wa Tanga tunasema agwirae akagwira arichae ni uzuzue.mwenzake karia ameshikilia na amin na yeye hakuna wa kumuondoa.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Wa Yanga atashinda kwa sababu wapiga kura wenye mahaba na Simba watajikuta wanazigawa Kura zao kwa watu wao wawili.Hapo Kuna wagombea wawili wa Simba na mmoja wa yanga