Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa hao wakenya mkuu unaowasifu walitumia logic ligi yao ina mafanikio gani kiasi ya sisi Tanzania tujifunze toka kwao?Ndio maana hakuna maendeleo ya moira nchi hii, hao wote watatu hawafai.
Ndio sasa nimewaelewa Wakenya kwa nini ligi yao huko nyuma walifikia kuikabidhi kampuni binafsi ndio iendeshe ligi, sasa nimewaelewa logic yao.
Hatuwezi kujifunza kwa kenya maan mpira wao uko chini kwa mambo yao ya kijinga hadi sasa ligi yao inaukata sijui tuige nini hukoNdio maana hakuna maendeleo ya moira nchi hii, hao wote watatu hawafai.
Ndio sasa nimewaelewa Wakenya kwa nini ligi yao huko nyuma walifikia kuikabidhi kampuni binafsi ndio iendeshe ligi, sasa nimewaelewa logic yao.
Huo ndo ukweli, msola anajisumbua tu hawezi kushinda, hao wagombea wote wawili ni kitu kimoja kisha mjulishe karia. Hapo ni 3 kwa 1.Hapo Kuna wagombea wawili wa Simba na mmoja wa yanga
Kwani Siku zingine huwa ninakuwaje?Leo umekuwa mwanasoka sasa