Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 825
- 1,074
Weka uongo mwingine hapa....Tuondoe mawazo ya mlipuko wa huu ugonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanitizer ya kunywa kutwa mara sitaWeka uongo mwingine hapa....Tuondoe mawazo ya mlipuko wa huu ugonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
I can't believe my big ears... Ni wewe kweri?
Hii ndiyo sanitizer ya kupaka hadi usoni kirusi hasogei
Ukiiinywa inaua virus tumboni na kwenye njia ya hewaHii ndiyo sanitizer ya kupaka hadi usoni kirusi hasogei
Hii lockdown inakupoteza sanaIli kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, kaa umbali wa mita moja kati ya mtu na mtu. Piga 199 au *199#. Ukiwa nje ya nchi piga 0800110124
Nipo nayo hapa ulijuaje docta mshana
Huu pia ni uongo?Ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, kaa umbali wa mita moja kati ya mtu na mtu. Piga 199 au *199#. Ukiwa nje ya nchi piga 0800110124
Hii lockdown inakupoteza sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Me nawakumbusha watu tu kuhusu corona