Hivi mnajua Mwigulu hatanii?! Hivi punde ataanza kutoza tozo kwenye kila mfugo.

Hivi mnajua Mwigulu hatanii?! Hivi punde ataanza kutoza tozo kwenye kila mfugo.

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
"...kuna sekta mfano haijaguswa kabisa ambayo ni ya mifugo unakuta mfugaji ana ng'ombe zaidi ya elfu 15 je huyo naye tumjengee josho la mifugo wake bure?! Mimi natoka kwenye familia ya kifugaji naelewa ninacho kizungumza."

Amesema Waziri Mwigulu.
 
Mimi nasubiri tozo ya tendo la ndoa tu, hapo sitampinga.

Yaani atuwekee tozo ya ndani ya ndoa, nje ya ndoa, kimasihara n.k

Nchi hii uhuru umepitiliza sana, inabidi tukamuliwe kila sehemu hadi akili zitukae sawa
 
Huku mwanza TOZO YA UCHAFU KILA DUKA NI 20000 NA BAR 30000 .alafu kila geto 3000/= .

.Hivi mbinguni ni kule zinapo pita ndenge au .Naomba kujuzwa niandae nauli ya #Airtanzania nikipanda sishuki nikishuka nashukia mbinguni. #TOZO zimeniikaa hapa
 
Back
Top Bottom