Suzy Elias JF-Expert Member Joined Nov 9, 2021 Posts 1,067 Reaction score 6,200 Sep 3, 2022 #1 "...kuna sekta mfano haijaguswa kabisa ambayo ni ya mifugo unakuta mfugaji ana ng'ombe zaidi ya elfu 15 je huyo naye tumjengee josho la mifugo wake bure?! Mimi natoka kwenye familia ya kifugaji naelewa ninacho kizungumza." Amesema Waziri Mwigulu.
"...kuna sekta mfano haijaguswa kabisa ambayo ni ya mifugo unakuta mfugaji ana ng'ombe zaidi ya elfu 15 je huyo naye tumjengee josho la mifugo wake bure?! Mimi natoka kwenye familia ya kifugaji naelewa ninacho kizungumza." Amesema Waziri Mwigulu.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Sep 3, 2022 #2 Mimi nasubiri tozo ya tendo la ndoa tu, hapo sitampinga. Yaani atuwekee tozo ya ndani ya ndoa, nje ya ndoa, kimasihara n.k Nchi hii uhuru umepitiliza sana, inabidi tukamuliwe kila sehemu hadi akili zitukae sawa
Mimi nasubiri tozo ya tendo la ndoa tu, hapo sitampinga. Yaani atuwekee tozo ya ndani ya ndoa, nje ya ndoa, kimasihara n.k Nchi hii uhuru umepitiliza sana, inabidi tukamuliwe kila sehemu hadi akili zitukae sawa
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Sep 3, 2022 #3 Every income should be Taxed!!
Beesmom JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 17,202 Reaction score 28,732 Sep 3, 2022 #4 Maskin
muro121 Member Joined Nov 24, 2016 Posts 62 Reaction score 50 Sep 3, 2022 #5 Huku mwanza TOZO YA UCHAFU KILA DUKA NI 20000 NA BAR 30000 .alafu kila geto 3000/= . .Hivi mbinguni ni kule zinapo pita ndenge au .Naomba kujuzwa niandae nauli ya #Airtanzania nikipanda sishuki nikishuka nashukia mbinguni. #TOZO zimeniikaa hapa
Huku mwanza TOZO YA UCHAFU KILA DUKA NI 20000 NA BAR 30000 .alafu kila geto 3000/= . .Hivi mbinguni ni kule zinapo pita ndenge au .Naomba kujuzwa niandae nauli ya #Airtanzania nikipanda sishuki nikishuka nashukia mbinguni. #TOZO zimeniikaa hapa