TUPAMBANE SANA
Member
- Nov 21, 2018
- 29
- 26
Tanzania tumepangwa kundi D ambalo lina timu:- Tanzania, Zambia, Guinea na Namibia. jJe wadau wa mpira katika kundi hili hatuoni kwamba tutakuwa tumepata nafasi angalau kati ya mshindi wa kwanza au wa pili?
Binafsi mimi Naipenda sana Taifa stars na kocha weti Ndairagije na naamini ataweza kutuvusha.
Binafsi mimi Naipenda sana Taifa stars na kocha weti Ndairagije na naamini ataweza kutuvusha.