TUPAMBANE SANA
Member
- Nov 21, 2018
- 29
- 26
Guinea ni ngumu kuliko Zambia, wanao nyota wakali wanaocheza ligi ya ndani wakiwemo wa Horoya na Hafia, Zambia vile vile wanao nyota wakali ligi ya nyumbani wakiwemo wanaocheza Zanaco na Nkana, Hata Namibia wako vizuri Wana timu nzuri ya wachezaji wa nyumbani. Tusipogangamala tutakuwa wa mwisho. Lakini yakifanyika maandalizi mazuri na kuchagua vizuri wachezaji walio katika form VPL tunaweza Pata nafasi ya pili.timu ngumu hapo ni Zambia
Hata sisi tuna nyota wakali wanaocheza ndanda, singida utd na yangaGuinea ni ngumu kuliko Zambia, wanao nyota wakali wanaocheza ligi ya ndani wakiwemo wa Horoya na Hafia, Zambia vile vile wanao nyota wakali ligi ya nyumbani wakiwemo wanaocheza Zanaco na Nkana, Hata Namibia wako vizuri Wana timu nzuri ya wachezaji wa nyumbani. Tusipogangamala tutakuwa wa mwisho. Lakini yakifanyika maandalizi mazuri na kuchagua vizuri wachezaji walio katika form VPL tunaweza Pata nafasi ya pili.