Hivi mnaoishi karibu na club mnawezaje hayo makelele

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club.

Yaani watu hawalali... Kiufupi ni nzuri hatupingi, lakini wengi wamelalamika watafute jinsi ya kupunguza sauti isizidi kubwa.

Huyu DJ nahisi anapiga na mirungi, sijui kama siyo smart. Wanaanza vizuri, muda ukifika saa sita anaongeza sauti badala ya kupunguza, aisee!

Kazi ni kunakazi.

Sasa hivi weekend muda huu nakesha na JF tu, nikikosa ke, naenda kusoma maradhi na tiba zake mpaka asubuhi.

Kero sana, hata ukienda polisi hakuna msaada, serikali za mitaa kabisa.
 
Uzurii wakati mwingine mda kama huu wanapiga za dini

Kama sasa inapigwaa ameamuaaa nani apingee bwana amesema nsio nani akatae

Mda uliopita wakapiga .....vya wajemi
 
Mida ya viumbe visivyoonekana hii.. ajali nyingi hutokea mida hii. Giza ni mauti. Wahi home. Drive safe.
 
Bunju b tunayo Riverwood bar!
Ni kero mpaka kule! Wanadai wenye pub wanahonga kwa wahusika! Bongo hela ikiongea ni shida!
 
Hii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club.

Yaani watu hawalali... Kiufupi ni nzuri hatupingi, lakini wengi wamelalamika watafute jinsi ya kupunguza sauti isizidi kubwa.

Huyu DJ nahisi anapiga na mirungi, sijui kama siyo smart. Wanaanza vizuri, muda ukifika saa sita anaongeza sauti badala ya kupunguza, aisee!

Kazi ni kunakazi.

Sasa hivi weekend muda huu nakesha na JF tu, nikikosa ke, naenda kusoma maradhi na tiba zake mpaka asubuhi.

Kero sana, hata ukienda polisi hakuna msaada, serikali za mitaa kabisa.
duh kumbe mtaani kwenu bado kuna club? Mbowe uko wapi?
 
Hii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club.

Yaani watu hawalali... Kiufupi ni nzuri hatupingi, lakini wengi wamelalamika watafute jinsi ya kupunguza sauti isizidi kubwa.

Huyu DJ nahisi anapiga na mirungi, sijui kama siyo smart. Wanaanza vizuri, muda ukifika saa sita anaongeza sauti badala ya kupunguza, aisee!

Kazi ni kunakazi.

Sasa hivi weekend muda huu nakesha na JF tu, nikikosa ke, naenda kusoma maradhi na tiba zake mpaka asubuhi.

Kero sana, hata ukienda polisi hakuna msaada, serikali za mitaa kabisa.
Inaitwaje
 
Wengi wao huwa na msongo wa mawazo na mara nyingi hukosa utulivu wa akili , hata ukimkanyaga bahati mbaya tu atacharuka kama nyati
 
Back
Top Bottom