duh kumbe mtaani kwenu bado kuna club? Mbowe uko wapi?Hii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club.
Yaani watu hawalali... Kiufupi ni nzuri hatupingi, lakini wengi wamelalamika watafute jinsi ya kupunguza sauti isizidi kubwa.
Huyu DJ nahisi anapiga na mirungi, sijui kama siyo smart. Wanaanza vizuri, muda ukifika saa sita anaongeza sauti badala ya kupunguza, aisee!
Kazi ni kunakazi.
Sasa hivi weekend muda huu nakesha na JF tu, nikikosa ke, naenda kusoma maradhi na tiba zake mpaka asubuhi.
Kero sana, hata ukienda polisi hakuna msaada, serikali za mitaa kabisa.
InaitwajeHii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club.