Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Yaani ipo hivi kwanini serikali isitumie ligi yetu ya mpira kutajirisha watanzania kwamba siku zicheze simba na yanga halafu zote zifungwe Kila mtu abeti mpunga wa kutosha hamuoni kama hapo tutakua tumepata utajiri watanzania yaani Kila mwaka mechi za mchongo ziwe 2 Kwa Kila timu unajua fikilia kama simba na yanga zote zikafungwa na hizi timu ndogo na tukaziweka kwenye mkeka mmoja si chini ya odds 250 hamuoni faida hapo maana Kila siku wanapewa pesa za magori siku Moja Moja na sisi tufaidike ITALIA ndio ujanja wao huu wanafanya