Wafanyakazi wote hulipa PAYE (Pay As You Earn). Wafanyabiashara hulipa Kodi tofauti tofauti.
- Nini maana ya kodi? Bahati mbaya sina kamusi kujua maana ya kodi
- Ni biashara gani ya muda mrefu zaidi duniani ambayo imezishinda ustaarabu na sheria dhidi yake.
- Je wahatumii huduma za kijamii kwa ajili ya maisha yao? Je wanapoungua mfano SIDA nani analipia gharama za tiba yake ilhali tiba ya AIDS ni bure?
- Je hawapati kipato cha kutosha katika mihanjo yao ya mchana na ucku?
- Kwanini wasilipe kodi?
Bazazi! anasema biashara zote lazima zitozwe kodi ilmradi haziathiri jamii nzima kwa ujumla wake (mfano biashara ya mihadharati). Mtu anajiuza kwa starehe na tabu zake, Kwanini sisi tujali zaidi ya kumdai kodi Bana! To hell with your taboo! Hapa ni uchumi kwanza.
Yes Ndimi Bazazi!