Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Hii biashara mi naona kama isajiliwe na wakina dada wanaojiuza walipe kodi kama nchi nyingine kama
ulaya kwani mimi ninaona inaingiza sana pato la taifa......
Me too, na kina kaka pia (beach boys) na mashoga!
Me too, na kina kaka pia (beach boys) na mashoga!
yap walipe bwana..badala ya kutegemea sigara tunaweza kutegemea na hii kitu
Hii biashara mi naona kama isajiliwe na wakina dada wanaojiuza walipe kodi kama nchi nyingine kama
ulaya kwani mimi ninaona inaingiza sana pato la taifa......
Kina kaka ni asilimia ndogo sana, might be o .3% kwa 99.7% ya wakina dada
Serikali dhaifu imekosa ubunifu wa vyanzo vya mapato na hivyo kuishiwa means.Lol, jamani tumemaliza kabisa vyanzo vyetu vya mapato mpaka tufike mahali pa kutegemea "hii kitu" iwe chanzo cha mapato? Wao wanafanya hivyo kwa kuwa hawana means, je na sisi tumeishiwa means?
seems kila maeneo mengi hapa daslam pombe inaponyweka sana huwa na HIZI HUDUMA ni nyingi...kama pombe wanakata kodi kwa nini na hawa wasiwakate kodi??? au kama wanashindwa wapandishe bei condomLol, jamani tumemaliza kabisa vyanzo vyetu vya mapato mpaka tufike mahali pa kutegemea "hii kitu" iwe chanzo cha mapato? Wao wanafanya hivyo kwa kuwa hawana means, je na sisi tumeishiwa means?
Me too, na kina kaka pia (beach boys) na mashoga!
Hii biashara mi naona kama isajiliwe na wakina dada wanaojiuza walipe kodi kama nchi nyingine kama
ulaya kwani mimi ninaona inaingiza sana pato la taifa......
Wafanyakazi wote hulipa PAYE (Pay As You Earn). Wafanyabiashara hulipa Kodi tofauti tofauti.
Bazazi! anasema biashara zote lazima zitozwe kodi ilmradi haziathiri jamii nzima kwa ujumla wake (mfano biashara ya mihadharati). Mtu anajiuza kwa starehe na tabu zake, Kwanini sisi tujali zaidi ya kumdai kodi Bana! To hell with your taboo! Hapa ni uchumi kwanza.
- Nini maana ya kodi? Bahati mbaya sina kamusi kujua maana ya kodi
- Ni biashara gani ya muda mrefu zaidi duniani ambayo imezishinda ustaarabu na sheria dhidi yake.
- Je wahatumii huduma za kijamii kwa ajili ya maisha yao? Je wanapoungua mfano SIDA nani analipia gharama za tiba yake ilhali tiba ya AIDS ni bure?
- Je hawapati kipato cha kutosha katika mihanjo yao ya mchana na ucku?
- Kwanini wasilipe kodi?
Yes Ndimi Bazazi!