Kama mwanaume hutakiwi kushindwa kumfanya mke wako akusikulize.Acha kumfokea kama mtoto badala yake ongea nae kama mke wako ambae ni mtu mzima!
Hayajaenda sawa kwa mtizamo wake wa kiubishibishi,kwangu mimi yanaenda sawa,si anakula bana anashiba,anavaa,gari yake full tank,simu full mivocha,watoto best school.....anataka nini sasa?Hahahahaha. Hajaweka tofali lakini ni MKE. Kwa hiyo mke asipoweka tofali kwenye nyumba inabidi awe msikilizaji tu hata kama anaona mambo hayaendi sawa ndani ya nyumba?
Hapa nimesikitika mpaka nataka kulia na ntalia kweli Shem, hayo sasa mbona ni manyanyaso? Unataka nani awape matunzo hao watoto? Na kwa nini utumie matunzo yako kumnyanyasa mkeo? Unampenda kweli?? Kama hana kipato afanyeje? Angekuwa na kipato kama wewe ungempa nafasi ya kumsikiliza? Sasa nimekupata vizuri. Pole mke wa Bishanga manake kazi unayo.tatizo too much u beijing!hela ntafute mimi,nduguzo nikutunzie,watoto full matunzo,halafu unaleta lomo!
Hayajaenda sawa kwa mtizamo wake wa kiubishibishi,kwangu mimi yanaenda sawa,si anakula bana anashiba,anavaa,gari yake full tank,simu full mivocha,watoto best school.....anataka nini sasa?
Now you are talking,ahsante sana Kamanda!
Kila taasisi ina taratibu zake bana,taasisi ya ndoa nayo ina protocal zake,sio ndani ya nyumba inakuwa kama kwa 'nshonzi/kambare' ambako kila mwanafamilia ana sharubu! nooo way!Hapa nimesikitika mpaka nataka kulia na ntalia kweli Shem, hayo sasa mbona ni manyanyaso? Unataka nani awape matunzo hao watoto? Na kwa nini utumie matunzo yako kumnyanyasa mkeo? Unampenda kweli?? Kama hana kipato afanyeje? Angekuwa na kipato kama wewe ungempa nafasi ya kumsikiliza? Sasa nimekupata vizuri. Pole mke wa Bishanga manake kazi unayo.
Mwanamke akijijua yupo peke yake ndo mwanzo wa nyodo na majivuno akigundua ehee kumbe wapo wengi anaanza kukuheshimu kumbe Mr. ni kidume nikikaa vibaya nitapinduliwa.
Hahahahahahahahaha!Kila taasisi ina taratibu zake bana,taasisi ya ndoa nayo ina protocal zake,sio ndani ya nyumba inakuwa kama kwa 'nshonzi/kambare' ambako kila mwanafamilia ana sharubu! nooo way!
<br />Kila taasisi ina taratibu zake bana,taasisi ya ndoa nayo ina protocal zake,sio ndani ya nyumba inakuwa kama kwa 'nshonzi/kambare' ambako kila mwanafamilia ana sharubu! nooo way!
<br />Mwanamke akijijua yupo peke yake ndo mwanzo wa nyodo na majivuno akigundua ehee kumbe wapo wengi anaanza kukuheshimu kumbe Mr. ni kidume nikikaa vibaya nitapinduliwa.
Susy kumwuliza mumeo kwa nini kakujia nyumbani sa 10 za usiku ni mapungufu?? Huyu shemu kakasirishwa pengine hasira anaziangushia kwa Wifi yetu. Mi sikubali bana.jamani kwani wifi kakutendaje??
msamehe bana!!! si unajua wanadamu kwa kujisahau lol!!
Leo umenitoa kwa mtogole na kunipeleka masaki, kesho nikipita kwa mtogole naona kuna nuka na vibaka kibao, kumbe ndiko nilikokulia!!!
Take it easy bana, usitunyambue sana, kila mtu anamapungufu.
Wewe una wake wangapi?
Ujue nacheka kwa majonzi. Namuhurumia sana huyo wifi yangu.usicheke bana,mambo mazito sana haya na yana konsikwensi
bora kuoa wa kwa mtogole kuliko hawa kina yes yes kibao,lol!jamani kwani wifi kakutendaje??
msamehe bana!!! si unajua wanadamu kwa kujisahau lol!!
Leo umenitoa kwa mtogole na kunipeleka masaki, kesho nikipita kwa mtogole naona kuna nuka na vibaka kibao, kumbe ndiko nilikokulia!!!
Take it easy bana, usitunyambue sana, kila mtu anamapungufu.
Leo ndo unajua anachonga mama kasuku??utaongea saa ngapi wakati ye anachonga kaa kasuku,naenda zangu mie kuutwika ntajua huko huko.