Hivi mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?

Hivi mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
441
Reaction score
643
Habari zenu walipa kodi!!

Niende direct kwenye mada. Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24, nimehitimu chuo kikuu mwaka jana bado nazisaka ajira, huku nikiwa napiga mishe mishe zangu za kujipatia riziki na vi vocha kwa siku.

Tatizo linakuja sasa sometime unaweza ukawa mtaani maybe ukatoa hata salamu kwa washkaji halafu wachache wakaitikia wengine waka mute, maneno ya hapa na pale kama jamaa anajisikia siku hizi kisa unakuta mara nyingi upo busy na mambo yako binafsi hasa ya kutafuta ugali wa siku.

Hivi juzi nimesikia mahali jamaa wananisema ila walikuwa hawajaniona yaani washkaji kabisa wanafuatilia na kutaka kujua huyu mtu siku hizi anafanya kazi gani au kashapata ajira yaani maneno maneno tu ambayo kiukweli hayana msingi zaidi yakupoteza muda

Sasa najiuliza ndugu zangu wale labda mliomaliza chuo na mpo mtaani mnawezaje kuishi/ kukabiliana na watu wa namna hii maana kwangu nawaona kama mwiba yaani hasa ukicheki ni watoto wa kiume kabisa yaani nashindwa kuwaelewa

NYINYI HUWA MNAKABILIANAJE NA WATU KAMA HAWA MITAANI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbafuuuu,ondoa hiyo profile picture kwanza kwa sababu ni ya babu yako.

Halafu utapata jibu mujarabu ulilouliza.

Mtoto huna adabu kabisa,maswali ya kipuuzi kabisa.Kwani wanakulisha au hujiamini?

Sasa kama hujiamini degree hiyo imekusaidia nini?

Njoo ulime mpunga huku Mwamashimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polee sana mkuu.... Ukitambua kuwa binadam sis huwa haturidhiki... utaish maisha yako pasipo kumwangalia mtu... Tambua kuwa hapo ulipo huna ajira bdo tu unasaka wapi utapata wanakusema... Je cku Mungu akinyoosha mkono wake ukapata unadhani hautasemwa...??? Cha msingi hapo ww fuata mambo yako halafu hao wanaokusema we waangalie tu kwa macho kuwa nao makini kwa sabab ushajua tayar maadui zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom