Hivi Mohamed Hussein anaweza Kiingereza kweli?

Sio requirement ya kuwa captain.
Yanga hawapo kabisa kwenye mashindano yoyote ya Africa tangu mwaka jana na wakati Mwamnyeto kwa jinsi unavyotuaminisha anajua Kiingereza, Kifaransa na Kireno

Nani anakuaminisha mwamnyeto anajua hizo lugha? Nyie huwa hampendi elimu.
 
Nani anakuaminisha mwamnyeto anajua hizo lugha? Nyie huwq hampendi elimu.
Sasa kama nahodha wako hajui Kiingereza, Kifaransa na Kireno, inakuwaje unalazimisha ushauri kwa nahodha wa Simba? Au Yanga haina mpango wa kuvuka makundi?
 
Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Lugha ya kiingereza! Kwamba wanaoishia form four hawajuagi kingereza! Hilo nalo limenishangaza, kingereza mbona kuna sehem kibao za kufundisha kingereza tu.
 
Lugha ya kiingereza! Kwamba wanaoishia form four hawajuagi kingereza! Hilo nalo limenishangaza, kingereza mbona kuna sehem kibao za kufundisha kingereza tu.

Amejifunza sehemu gani? Maana nmeuliza swali. Kama kapten lugha inamsaidia kwenye mawasiliano hasa kwa sasa kuna matumizi ya VAR inahitaji kumshawishi refa akacheck VAR
 
Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Kwani kiingereza ndicho kinacheza mpira!
 
Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Messi hajui KIINGEREZA ila ni captain kote aendako... Captain sio kuongea Tu ni Action na Kuongoza wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…