Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 575
- 917
Ipi hiyo🤔KUNA WATU UKIONA THREAD ZAO UNAJUA NI TAKATAKA TU.
Elimu haiusiani kabisa na Lugha.
Lugha ni kujifunza sio Elimu wala shule.
Acha ufamba.
Mpira una Lugha yake world wide,
Lugha ya Mpira ni Moja tu Dunia nzima.
Anajua spanish. Au hujui hilo? Ambayo ni moja ya lugha kubwa duniani.Messi hajui KIINGEREZA ila ni captain kote aendako... Captain sio kuongea Tu ni Action na Kuongoza wenzako
acha ujinga khusanov hachezi kapelekwa shule kujifunga ngeliiMpira ni mchezo wa ishara kama unataka lugha nenda kwenye intaviuu za utumishi.
Akikujibu ni tag.Ipi hiyo🤔
Acha kuharibu kazi za watuElimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Hawa madogo hawajielewi. Wanabisha mambo sababu hata wao wana tatizo la lugha. Yaani kapten hujui kuwasiliana na refa na dunia ya sasa ya VAR utamshawishi vipi au utapokeaje maelekezo kwa mwalimu au utawasiliana vipi na wenzio?acha ujinga khusanov hachezi kapelekwa shule kujifunga ngelii
Just another nincompoop who thinks 100k it is something.Wewe unajua kingereza ? Tukutane ana kwa ana tuongee ukiweza nakupa 100k hapa mtandaoni unaweza kuomba msaada Chatgpt
Afya ya akili ni tatizo sana dogo. Unaonesha uzoefu wakoUnaacha kufikiri kwa kutumia akili unaanza kufikiri kwa kutumia mk..undu
Wewe bado unaishi pre colonial era...kama unaona kujua kiingereza ni ufahari na kwamba itakufanya kuwa binadamu wa daraja la kwanza basi nakushauri uwe kijakazi kwenye familia ya wa Irish ama wascotish ili wakuoe na kuongeza uzao wa kizazi kinachozungumza kiingereza!Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Wewe bado unaishi pre colonial era...kama unaona kujua kiingereza ni ufahari na kwamba itakufanya kuwa binadamu wa daraja la kwanza basi nakushauri uwe kijakazi kwenye familia ya wa Irish ama wascotish ili wakuoe na kuongeza uzao wa kizazi kinachozungumza kiingereza!
Lugha ipi?KUNA WATU UKIONA THREAD ZAO UNAJUA NI TAKATAKA TU.
Elimu haiusiani kabisa na Lugha.
Lugha ni kujifunza sio Elimu wala shule.
Acha ufamba.
Mpira una Lugha yake world wide,
Lugha ya Mpira ni Moja tu Dunia nzima.
Just another dumbass who thinks 100k is nothingJust another nincompoop who thinks 100k it is something.
Wewe hata uvulana hujafika... kupanda school bus kusikutoe ufahamu kudhani upo daraja la juu! Siku moja utakza kiumri na kupata watoto watakaokuita baba ila kichwani uu kopo la kuchambia!Dogo umeolewa huko? Maana hata hoja hujaielewa unawaza kuolewa. Huu si uzi wa kutafuta waume. Acha wanaume tunajadili mambo ya msingi kwanza.
Dogo umeolewa huko? Maana hata hoja hujaielewa unawaza kuolewa. Huu si uzi wa kutafuta waume. Acha wanaume tunajadili mambo ya msingi kwanza.Wewe hata uvulana hujafika... kupanda school bus kusikutoe ufahamu kudhani upo daraja la juu! Siku moja utakza kiumri na kupata watoto watakaokuita baba ila kichwani uu kopo la kuchambia!
NyetoNahodha wangu ni nani?
Ungeanza kuachia huu uzi kwangu mwenyewe.