Hivi mpaka sasa kuna yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya gorofa kuanguka?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.

Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.

Waandishi wa habari, vipi mbona na nyie humuhoji?

Au wadau humu mnasemaje?

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
 
Au nyie mnasemaje?

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Wamemkamata niffer eti kisa kuchangisha fedha. Kwa ajili ya wafanyabishara wenzake kupata maafa. Nchi hii ni ngumu sana
 
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.

Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.

Waandishi wa habari, vipi mbona na nyie humuhoji?

Au wadau humu mnasemaje?

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Mzee Mgaya yupo mahabusu now
 
Anashikiliwa Niffer kwa kuchangisha michango ya kuwasaidia wahanga

Serikali ya mchongo
 
Kuna mtu anaitwa Niffer anatuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya wahanga ametiwa mbaroni.
 
Back
Top Bottom