Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mkurugenzi wa TBA ajulikanae kwa jina la NIFFER ajulinae kwa jina la NIFFER ambaye pia ndiye anayetajwa kuwa mmiliki wa jengo hilo.Nani hasa ww unatamani akamatwee wa kwanza mkuu wanguu...
Wamemkamata niffer eti kisa kuchangisha fedha. Kwa ajili ya wafanyabishara wenzake kupata maafa. Nchi hii ni ngumu sanaHili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.
Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.
Au nyie mnasemaje?
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Thubutu! Nani akamatwe wakati ndio wafadhili wa Mama mpendwa!Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.
Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.
Au nyie mnasemaje?
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Hawa jamaa sio watu kabisa!!Imeisha hiyooo
Ova
Mzee Mgaya yupo mahabusu nowHili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.
Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.
Waandishi wa habari, vipi mbona na nyie humuhoji?
Au wadau humu mnasemaje?
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Yona na Mramba 🐼Matajiri hawafungwi, wala kuwekwa ndani. Nitajie tajir aliyewahi kufungwa nqmi nitqkutqjiq wqliotolewa na kuachiliwq huru kwa vioande vya sarafu
Walifungwa miaka mingapi na waliishia wapi?Yona na Mramba 🐼
Walifungwa miaka 3 Lakini wakaachiliwa kama Bilionea Mbowe kwenye UgaidiWalifungwa miaka mingapi na waliishia wapi?
Anashikiliwa Niffer kwa kuchangisha michango ya kuwasaidia wahangaHili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.
Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.
Waandishi wa habari, vipi mbona na nyie humuhoji?
Au wadau humu mnasemaje?
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Mmiliki huenda ana kadi ya kijaniAnashikiliwa Niffer kwa kuchangisha michango ya kuwasaidia wahanga
Serikali ya mchongo
Nchi ngumu sana hii.Kuna mtu anaitwa Niffer anatuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya wahanga ametiwa mbaroni.