ha ha ha ha ha blaza umemnanga mchizi hadi urodaaa!!!Kwanza ni wewe alafu kaa ujue hupendwi tumia akili
hi hi hiiiiiUtakuwa dume shupa
hahahahahahhahahahah, we jamaa una majibu ya aina yakooo!!! Hu hu hu hukublockiwa maana yake jamaa ni msumbufu
kuwa msumaufu maana yake umechokwa
kuchokwa maana yake hutakiwi
kutotakiwa maana yake tafuta mwingine
Na kuyaweka haya yoote pamoja na yakaeleweka kwa urahisi kabisa, ni kwamba sasa hivi anakuona wewe ni mwanaume UCHWARA tu.kublockiwa maana yake jamaa ni msumbufu
kuwa msumaufu maana yake umechokwa
kuchokwa maana yake hutakiwi
kutotakiwa maana yake tafuta mwingine
Tafuta mwingine maaana yake, kuwa na goma jipya, goma jipya maana yake ...........kublockiwa maana yake jamaa ni msumbufu
kuwa msumaufu maana yake umechokwa
kuchokwa maana yake hutakiwi
kutotakiwa maana yake tafuta mwingine
Unataka kumuajiri....!!?Mna umri gani wote???
Let assume wana umri kama wako...so what next..!!?Wana/ mna umri gani??
HahahaAkuonyeshe taarifa fupi ya miamala ya M pesa au Tigo pesa anayotuma unaweza ukapata mwanga ni kwa nini ameblokiwa.
Ameeka dp ambayo hataki wewe uione
Unataka kumuajiri....!!?
Unataka kumuajiri....!!?
Sasa suala la umri linakuhusu nini...!!?Kwani ameomba ajira?
DISPLAY PICTURE