Hivi mpenzi wako akikublock namba yako ndio inamaanisha nini?

Hakunaga ubize wa kukosa muda wa kumjulia hali mtu/watu wa muhimu kwako. Hiyo ina maana kuwa simu yake haitumii kabisa? Muda wote yupo busy na vitabu? Jamaa ako akae akijua tu thamani yake kwa huyo gal haipo tena.
 
yule wa maua amekublock ? i mean x wako
 

Mpenzi kukuignore inauma hakuna mfano....
 
Duh....wamefkia apii
 
Poleni sana
 
Huu utoto sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…