kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Na kama anao hawamshauri au wanafurahi ndugu yao kuanika mwili wake uchi hadharani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kama anao hawamshauri au wanafurahi ndugu yao kuanika mwili wake uchi hadharani??![]()
Mzigua90 Heri ya mwaka mpyaAnao ndugu ndio. Mama ake mzazi ni mwalimu na yuko poa tu na kitu anafanya mwanae
Asante mkuuAsante mkuu na kwako pia
Ala laana huyu bintiAmeamua kuitumikia fedha,usishangae!
MuangalieNi nani huyo mkuu?
Inasikitisha sanaWengi wa hivi utakuta mama na baba walienda mbele za haki,halafu ndugu hua hawawezi kabisa..
Huyu kakaa uchi mwaka wa nne huu hakuna hata mwanaume kamuoa atleast...
Atakua anapata laki 2,3 za kudanga,ila all through kachoka kimaisha tu...
Hawa hua wanajiendesha wenyewe tu,ndugu hawawezi
Anauza nn huyu??Biashara matangazo.