kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
- Thread starter
-
- #21
HakikaTatizo itakuwaje mume watoto wake 10 yrs to come??? Todate Nsya Swai ana Mume just 2 to 4 photos into Internet.huyu anazaidi ya 200.So sad kwa wazazi wake! Heri Tumbo lisilojaa na maziwa yasionyonyesha!.Mungu awajalie wazazi wake faraja....
Hahaaaa
Uchochezi huu
Kumbe ni embe dodo??Awatoe wapi? Si kaanguliwa mtini au?
Mashimo ya kutolea taka...Anauza nn huyu??
Picha uoni?Anauza nn huyu??
Kwan na ww je una ndugu?Na kama anao hawamshauri au wanafurahi ndugu yao kuanika mwili wake uchi hadharani??
Nitakutafuta aiseeKwani kaiba au kavunja sheria haya maisha ya kufuatiliana mnayo nyie mnaokaa uswahilini yeye ana ndugu na wako na Amani familia zetu wengine fanya jambo ili mradi umefikisha miaka 18+ hakuna shida kila mtu aishi kivyake I like life wanaishi wazungu kila mtu anaishi kivyake na maisha yanaenda
Kabisa mkuuMwil wake ajira tosha