HIVI MSAMAHA HUWA UNASAIDIA NINI WAKATI MTU AMESHAKOSEA KWA UBISHI WAKE

HIVI MSAMAHA HUWA UNASAIDIA NINI WAKATI MTU AMESHAKOSEA KWA UBISHI WAKE

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
KUNA KITU HUWA NAJIULIZA KUNA MUDA UNAMKUTA MTU ANAKUOMBA MSAMAHAA OHOO NISAMEHE SITARUDIA TENA.

KUNA WAKATI UNAFIKA MTU UNAMKATAZA MTU USIFANYE JAMBO FLANI LAKINI HASIKIII UNAMKATAZA JAMBO KUFANYA MTU HASIKIIII ......

SASA AKITIKOKEA MTU KAPATWA NA SHIDA NDIO ANAJIFANYA NDO ANAMUOMBA MUNGU MARA ANAJIFANYA ANAOMBA MSAMAHA .....

NAZUNGUMZA HAYA KUTOKANA NA RAFIKI YANGU MMOJA AMEFILISIKA KWA SABABU YA UJINGA WAKE TULIKUWA TUNAMKATAZA PESA AWEKEZE KATIKA MILADI YAKE...

YEYE KAMJENGEA NYUMBA MWANAMKE WAKE MWISHO SIKU KAFUKUZUWA NDANI YA NYUMBA NEVER THE LESS HUYO MWANAMKE ALIKUWA NI HAWARA
 
Naomba mimi nikuombe msamaha kabla ya KOSA alafu uone kama inakuja/ingefaa...!

Samahani...acha kuuliza maswali ya Kijinga na ya Kitoto..
 
Naomba mimi nikuombe msamaha kabla ya KOSA alafu uone kama inakuja/ingefaa...!

Samahani...acha kuuliza maswali ya Kijinga na ya Kitoto..
mkuu hapa nina maana kama kuna mtu ulikuwa unamkataza kufanya jambo flani lakini hasikiii .

Baada ya kupatwa na matatizo ndio anajifanya anaomba msamaha ivi huo msamahaa unasaidia nini sasa
 
Kwangu mimi msamaha una maana kubwa sana. Nielewavyo ni kuwa mtu kalitambua kosa alilofanya mwanzo hivyo anaomba nafasi nyingine ya kujirekebisha. Ndio maana ya MSAMAHA
 
Kuna makosa mengine mtu anakufanyia mpaka yeye mwenyewe anasita hata kuja kuomba msamaha...sasa sijui hali ya mkosewa inakuaje hapo!
Kusamehe kunataka maandalizi mengi kimwili roho na akili.
Ila msamaha ni bora!
 
mkuu hapa nina maana kama kuna mtu ulikuwa unamkataza kufanya jambo flani lakini hasikiii .

Baada ya kupatwa na matatizo ndio anajifanya anaomba msamaha ivi huo msamahaa unasaidia nini sasa
Wakati ukimwambia alikuwa anaona kama haupendi maendeleo yake ndio maana alikuwa haachi kuyafanya ila yametokea ya kutokea ndio amejifunza na kuona kwamba amekukosea pia wewe kwa hiyo anaomba samahani kwa kutambua kosa lake la kutofuata ushauri wako
 
Mtoa mada we unaombaga msamaha kwa Mungu? Km ndio huwa unaomba kwa makosa uliyofanya ukiwa hujui hili ni kosa au ukiwa unatambua kbsa unafanya kosa.
.makosa mengi 99.9% tunayafanya tukiwa tunajua kabisa hili ni kosa,,lakini badae tunatubu tena sometimes tunatubu afu tunarudia tena na tena
 
Aliwafukuza wale Wa Barabara ya kwenda bagamoyo kwa ubabe bila kufuata sheria.wakatushitaki tukashindwa mahakamani tukagoma kuwalipa na kukata rufaa tukashindwa tena tukagoma kuwalipa lakini Mungu si athumani baada ya miaka kupita aliyewafukuza akapata madaraka makubwa akaanza kufanya manunuzi ya bombardier na maboeing hatimaye bomadier moja ikakamatwa madai ya fidia ya kesi tulioshindwa.mkubwa akaona afanye siri isijulikane alipe kidogo kidogo .watu ambao hawkuridhishwa na move za Mkuu wakamtonya Lisu.kama kawaida msemakweli in mpenzi Wa Mungu Lisu akatoboa siri mkubwa akaumbuka akaamuru bajeti itolewe ili Lisu auawe.Mungu akakataa .Lisu ameinuka juzi .Kakobe katoa ujumbe Wa kutubu watu wanatoa mapovu
 
Back
Top Bottom