Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Magufuli atubuKUNA KITU HUWA NAJIULIZA KUNA MUDA UNAMKUTA MTU ANAKUOMBA MSAMAHAA OHOO NISAMEHE SITARUDIA TENA.
IVI WAKATI MTU UNAFANYA ULIKUWA WAPI
mkuu hapa nina maana kama kuna mtu ulikuwa unamkataza kufanya jambo flani lakini hasikiii .Naomba mimi nikuombe msamaha kabla ya KOSA alafu uone kama inakuja/ingefaa...!
Samahani...acha kuuliza maswali ya Kijinga na ya Kitoto..
mkuu hapa nina maana kama kuna mtu ulikuwa unamkataza kufanya jambo flani lakini hasikiii .Naomba mimi nikuombe msamaha kabla ya KOSA alafu uone kama inakuja/ingefaa...!
Samahani...acha kuuliza maswali ya Kijinga na ya Kitoto..
Lakini kwa mtu uliyekuwa unamkataza kufanya jambo flaniMkuu kusamehe ni kawaida.
Una maana utamsameheKwangu mimi msamaha una maana kubwa sana. Nielewavyo ni kuwa mtu kalitambua kosa alilofanya mwanzo hivyo anaomba nafasi nyingine ya kujirekebisha. Ndio maana ya MSAMAHA
Wakati ukimwambia alikuwa anaona kama haupendi maendeleo yake ndio maana alikuwa haachi kuyafanya ila yametokea ya kutokea ndio amejifunza na kuona kwamba amekukosea pia wewe kwa hiyo anaomba samahani kwa kutambua kosa lake la kutofuata ushauri wakomkuu hapa nina maana kama kuna mtu ulikuwa unamkataza kufanya jambo flani lakini hasikiii .
Baada ya kupatwa na matatizo ndio anajifanya anaomba msamaha ivi huo msamahaa unasaidia nini sasa
Mkuu sasa kwa situation kama hiyo anaomba msamaha ili iweje kwa mfano. Aje kulala kwako au vip. Nashindwa kusema mimi kwa upande wangu nimsamehe niniUna maana utamsamehe