Hivi msanii Mejja yupo wapi siku hizi?

Johnny Sins

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
2,537
Reaction score
3,873
Kuna wimbo yake inaitwa Niko Poa (Barua) na nyingine inaitwa Furahia. Huyu jamaa nilikuwa namkubalia sana na mwenzake Jua Cali. Sijui siku hizi wapo wapi?

Kwenye wimbo wake wa NIPO POA kuna mistari hii


Huu ni okonkwo
Tangu nikuje Nairobi
Watu wangu wa Majengo sijawasahau
Skia hii

Bro najua nimekosa sana
Ndio nimeandika hii barua mjue vile nafanya
Hope huko Nyeri bado mnakazana
Kabla niendelee salimia sana matha
Najua unashindwa ni wapi nilikuwa nalala
Clemo alinichukua akaniweka kama brother
Akanipatia mavazi na kitu ya kumanga
Tangu nitoe ngoma yangu ya ulevi
Huku Nairobi nimejua watu wengi
Wengine wazuri wengine hawanipendi
Sijali Majengo ilinifunza kaa kijeshi
Huku Calif mi huenda Jino Moja
Ama base ya Mama Sidi kushikisha gomba
Dough ikiingia ntakuja kuwaona
Kina Omari kina Juma kina Zoa
Wee wasalimie na uwaambie niko poa




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…