hivi msichana akifanya mapenzi bila kutumia condom siku ya ovulation anaweza kupata mimba?

TONGINDI

Senior Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
174
Reaction score
32
nisaidie swali hili dactari, ni muhimu. hata wadau wenye ufahamu ktk suala hili mnaweza kuchangia.
 
sasa unategemea nini hapo lazima kitu kikubali labda mwanaume awe joka la kibisa.
 
Wanaume wasikuhizi wanapenda ngono ila wanaogopa mimba kwelikweli na hawakawii kumkameroon mtu kuogopa mimba leo 2 kuanzia asubuhi huu ni uzi wa pili kuuliza jae ana mimba kuweni waangalifu bana/
 
Katu haiwezekani, labda siku ya evolution.
 
wanaume wasikuhizi wanapenda ngono ila wanaogopa mimba kwelikweli na hawakawii kumkameroon mtu kuogopa mimba leo 2 kuanzia asubuhi huu ni uzi wa pili kuuliza jae ana mimba kuweni waangalifu bana/

wewe jibu swali porojo za nini? Wewe umekuwa nape anayesema hata akibaki peke yake ccm haiwezi kufa!
 
tongindi hahahaah umeniuwa mbavu zangu kila siku juzi hapa wamefundishwa kalenda leo viswali uchwara hapa unafikiri shule za kiislam kitand hakizai haramu saa unangonoka ulijua nini ukubwa ndo ushawanyemelea tena
 
of coz siku ya ovulation si ndio perfect time ...
 
ahsante sana, je nikimwaga nje?

Jamani utoto huu nao kazi...!!!!mwaga tu dogo....mwaga kabisaaa,wala hatapata mimba....ila ukianza kuona anakuomba umnunulie ukwaju mpeleke hospitali maana inawezekana ukawa umemuambukiza safura...lol
 
hahahahaha!
 
nisaidie swali hili dactari, ni muhimu. hata wadau wenye ufahamu ktk suala hili mnaweza kuchangia.

Unauliza chakula kilicho pakazwa kinyesi ukila utapata kipindupindu?
 
tongindi hahahaah umeniuwa mbavu zangu kila siku juzi hapa wamefundishwa kalenda leo viswali uchwara hapa unafikiri shule za kiislam kitand hakizai haramu saa unangonoka ulijua nini ukubwa ndo ushawanyemelea tena

sasa shule ya kislam na mada wap na wap, acha mambo ya udini wewe.
 
Back
Top Bottom