BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Wakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama uko dar wahi alfajiri maeneo ya ubungo mataa upande wa oil com nunua maziwa fresh........yanahitajika sana zama hizi faida ukipata utukumbuke...!!
Mimi nikiwa elfu 3o leo ni wikendi. Nachagua timu 10,hapo napata pointi 10_15 natandaza mkeka wangu. Jioni naenda chukua laki3 hadi 4.50! Kama ningekuwa mimi.
Lakini! By c.e.o wa mikekani investments.
kama uko dar wahi alfajiri maeneo ya ubungo mataa upande wa oil com nunua maziwa fresh........yanahitajika sana zama hizi faida ukipata utukumbuke...!!
Aise kumbe ndiyo maana hatuwi matajiri;
Just imagine mtu ana elfu thelathini anaweza kuizalisha;
kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.