Jamani naomba mnipe ushauri:
Toka nimeanza kutuma maombi ya kazi katika taasisi mbalimbali za ummma na binafsi sijaitwa interview hata moja.
Nilipoongea na rafiki yangu mmoja akaniuliza kama huwa nacertify copy za vyeti vyangu au lah!
Nikamjibu sijawaì kufanya hivyo,ndipo akaniambia hiyo inaweza ikawa sababu.
SASA WADAU ZILE NAFASI 2000 ZA utumishi niliomba bila kucertify,ina maana nazo sitaitwa kwenye interview,,,??
Msaada jaman,,,!
.......SASA WADAU ZILE NAFASI 2000 ZA utumishi niliomba bila kucertify,ina maana nazo sitaitwa kwenye interview,,,??
Msaada jaman,,,!
Tafuta ushauri vitu gani vinatakiwa kwenye "CV" na nini havitakiwi. Mfano kutaja kabila lako, kutaja jinsia yako, kutaja dini yako hivyo vyote havitakiwi. Zaidi sana kuna "cover letter" sijui kama unakumbuka kuweka nayo ni muhimu kuelezea uwezo wako kwenye hiyo kazi unayoomba