Reveland patterson
Member
- Jul 29, 2015
- 20
- 199
Wadau shalom
Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa
Hata huyu shemeji yangu siku za nyuma alikua anachukia jambo hilo kuwa halikubaliki mbele za mungu lakini sasa hivi amekua Mlevi mkubwa Wa jambo hilo, nimejaribu kumuonya Mara kadhaa kwamba lisifanyike lakini analazimisha, sijui nae amefundishwa na nani
Watu Wa mungu naombeni ufafanuzi je jambo hili ni dhambi au la? Au ni mm ndio nakosea?