J jaridotcom2 Member Joined Jul 26, 2012 Posts 62 Reaction score 11 Aug 9, 2012 #1 Jamani naomba kuuliza hvi mwanaume mwenye korodani moja anauwezo wa kuzalisha? ikiwa anatoa mbegu kwa kutumia korodani moja tu naomba msaada wenu?
Jamani naomba kuuliza hvi mwanaume mwenye korodani moja anauwezo wa kuzalisha? ikiwa anatoa mbegu kwa kutumia korodani moja tu naomba msaada wenu?
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,155 Reaction score 445 Aug 9, 2012 #2 tafuta kipoozeo ujaribu
nkyalomkonza JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 1,154 Reaction score 444 Aug 9, 2012 #3 kinachozalisha sio idadi ya korodani bali ni sperm.
S Short white Senior Member Joined Jan 6, 2011 Posts 124 Reaction score 32 Aug 9, 2012 #4 jaridotcom2 said: Jamani naomba kuuliza hvi mwanaume mwenye korodani moja anauwezo wa kuzalisha? ikiwa anatoa mbegu kwa kutumia korodani moja tu naomba msaada wenu? Click to expand... Ndiyo anaweza kuzalisha endapo 'sperms' zipo normal in quantity and quality.
jaridotcom2 said: Jamani naomba kuuliza hvi mwanaume mwenye korodani moja anauwezo wa kuzalisha? ikiwa anatoa mbegu kwa kutumia korodani moja tu naomba msaada wenu? Click to expand... Ndiyo anaweza kuzalisha endapo 'sperms' zipo normal in quantity and quality.
J jaridotcom2 Member Joined Jul 26, 2012 Posts 62 Reaction score 11 Aug 10, 2012 Thread starter #5 Short white said: Ndiyo anaweza kuzalisha endapo 'sperms' zipo normal in quantity and quality. Click to expand... Quantity and quality kivipi mkuu ebu nidadafulie bana?
Short white said: Ndiyo anaweza kuzalisha endapo 'sperms' zipo normal in quantity and quality. Click to expand... Quantity and quality kivipi mkuu ebu nidadafulie bana?
Mahmetkid JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 732 Reaction score 443 Aug 11, 2012 #6 jaridotcom2 said: Jamani naomba kuuliza hvi mwanaume mwenye korodani moja anauwezo wa kuzalisha? ikiwa anatoa mbegu kwa kutumia korodani moja tu naomba msaada wenu? Click to expand... Korodani moja inatosheleza kutoa mbegu za kuweza kumzalisha mwanammke. Anatungisha mimba bila ya tatizo lolote lile.
jaridotcom2 said: Jamani naomba kuuliza hvi mwanaume mwenye korodani moja anauwezo wa kuzalisha? ikiwa anatoa mbegu kwa kutumia korodani moja tu naomba msaada wenu? Click to expand... Korodani moja inatosheleza kutoa mbegu za kuweza kumzalisha mwanammke. Anatungisha mimba bila ya tatizo lolote lile.