Hivi mtu unavoomba kazi , Unataka nini Exactly?

Hivi mtu unavoomba kazi , Unataka nini Exactly?

Joined
Nov 14, 2011
Posts
16
Reaction score
0
hello.!
jamani wana Jamii wenzangu mi naomba niulize kitu, Hivi mtu unavoomba kazi si unataka Kazi then at the end wakulipe Mshahara? IN SHORT NI KWAMBA TUNAOMBA KAZI ILI TUPATE HELA. sasa nashangaa, kuna sehemu moja walitangaza nafasi za kazi, then watu tukatuma maombi yetu, baadae tukapigiwa simu kuitwa kwenye Interview, kusema kweli nauli yenyewe kwangu binafsi ilikua mbinde kuipata, basi nikajichanga nikapata Tsh.600/- then nikaenda.Wakatu interview then wakasema watatupigia simu kama mtu umepita au la. after some days wakapiga kweli tukaenda. Kufika pale wanaanza stori za Utajiri, mara sijui Leo ni siku ya bahati kwako, mara wanatuonyesha picha za majumba ya kifahari na Magari mara Sijui nini.....Machale yakanicheza..... MWISHO KUMBE WANATAKA UTOE HELA ILI UWE PART OF IT, tena in terms of dollars, either USD 100, 1000 au 10000. sa jamani mi natafuta kazi sina hela then kufika hapo mnataka Niwape tena mijihela yooote hiyo mi ntaitoa wapi??? yani i wont forget that day. sina hamu.
 
dadafua vizuri, ni wapi huki? ili ma job less tukiitwa tusiende....!
 
NI wapo hapo 2pe taarifa bac bana na cc 2pajue.
 
Nilienda si ni pale cty center ppf tower fl 5.?? Waliniita kwenye intervw nikaonana na Md, akanambia we unaonekana jembe nitakuita, mpaka kesho sijaitwa wala nini, najiandaa kwenda kulima huko mkuranga..!
 
Hao watakuwa wale wa bidhaa za aloevera kama sikosei.
 
Maybe.. so hadi leo kimya? nlijua peke yangu. Na yale makadi yao uliwapa watu waende? em nipe stori mwenzangu
 
hiyo itakuwa ni anaza vesheni of DECI..!
 
Ni kweli tena wanafanyiaga sana pale holiday inn ni wa aloevera wajanja wale utawafanyia kazi mpaka utakufa na umasikini wako
 
Back
Top Bottom