wakubwa me ni kijana nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nimepata division three ya point 30 naomba kujibiwa kuwa naweza kupata chuo cha serikali kujiunga na kozi ya clinical officer nimepata
biology C
chemistry D
physics D
maths E
English B
Mwisho ni tar 30 mwezi huu,yani imebaki week 1 tu na usajiri ni kwa njia ya online kupitia The National Council for Technical Education na nilazima uteme sh.3000
kwenda na.607070 kupitia m-pesa
acha kumpoteza mwenzako atalipa elfu 30 na hata hatafikiriwa, dogo apige certificate yoyote ya afya. diploma ni chemistry c,bios c,physics d masomo ya math na eng ukipass ni sifa ya ziada inakuongezea credit. unaapply online kupitia websit ya nacte na mwisho wa kuapply ni june 30
Yaani wewe kama umemaliza form four hata kama una division one ya point 7 lazima uanzie certificate itasoma mwaka wa kwanza basic certificate mwaka wa pili wa tatu Technician certificate na mwaka wa tatu ordinary diploma hakuna shortcut