So Mchumba mume hana nafasi?
E bana we kipato kinaruhusu ndo maana unatuma hiyo kiloWanaume "mkono wa birika" utawajua tu! Sisi wengine tunatuma 100,000/= kila mwanamke anapoku-beep
Hahahashoga zake na marafiki wanapeana umbeya wa wapi kina salon nzuri na wapi wanajua kusuka vizuri
E bana we kipato kinaruhusu ndo maana unatuma hiyo kilo
wengine hiyo ndiyo capital yetu. Kwa siku unaingiza 8,000 ukitoa
5,000 Jasho linakutoka.
Dah, nitakuwa situmi sasa, nitapiga mimi tu!
Jana nilikutumia vocha ya 500 leo najitahidi nakutumia 1000 ikiisha utanieleza uliwapigia akina nanindugu zake.........
Baba Enock kwenye phone book utakuwa umeseviwa kwa jina la VOCHA DAR lol!!!Wanaume "mkono wa birika" utawajua tu! Sisi wengine tunatuma 100,000/= kila mwanamke anapoku-beep
#Hahaha