Hivi munampigia nani?

kama upo hiyo level ya mwisho bora usihonge hadi uingie next level.
Ha ha ha haa leo umenichekesha kweli! Duh yaani nikae tu
tunahongana kilevel level........
 
nakutumia soon, ngoja nitume mtu. Halafu kuna kitu kusaidiana, yaani mwanaume kumsaidia mtoto wa kike anajitapa amehonga! Khaa!
Kwani wewe hautaki kuhongwa, nikuhonge vocha ila mimi huwa haizidi 1000
 
kama upo hiyo level ya mwisho bora usihonge hadi uingie next level.
Tatizo wengine mpaka wanakufa wapo kwenye level hiyo hiyo usemi
wako unaweza kuwanyima baadhi ya watu haki fulani!
 
Mkuu achana na vocha kabisa

mkuu inawezekana simu yako huwa unaweka mia tano tano au imezidi sana buku mbili na unampunguzia mchumba buku so ni mwendo wa extreme na zile sms 200 za airtel
 
Tatizo ni pale Wabeijing wanapolalamikia haki sawa, ndo maana
na sisi tumeanza kulalamika vinginevyo futeni kauli mwanaume
abaki na cheo chake na ile misemo ya ajabu kama mfume dume ife...

mambo mengine kishkaji bwana, leo umemtoa mtu kesho anakutoa yeye. We unafikiri sisi hatuwatoi vivocha na vilunch? Mbona hatuji kulalamika jf?
 
Ha ha ha haa leo umenichekesha kweli! Duh yaani nikae tu
tunahongana kilevel level........

kuna level zingine sio za kuhonga. Utakufa maskini ukiendekeza kuhonga.
 
mambo mengine kishkaji bwana, leo umemtoa mtu kesho anakutoa yeye. We unafikiri sisi hatuwatoi vivocha na vilunch? Mbona hatuji kulalamika jf?

Husninyo naomba ofa ya lunch siku moja dear ila iwe movenpick au holday in
sitaki mambo ya kunipeleka hongera bar sijui wapi
 
Husninyo naomba ofa ya lunch siku moja dear ila iwe movenpick au holday in
sitaki mambo ya kunipeleka hongera bar sijui wapi

heee! Unachagua hadi pa kwenda! Lol, nitakuhonga hadi pale uwezo wangu utaishia. Uje na mama rocky.
 
Kutoa ni moyo,wala usipime fadhila,Ukimpa mwenzio kile unchodhani ni sahihi usitegemee fadhila, chakununua lazima upate bidhaa yake. Upendo ni zaidi ya vile unavyofikilia.
 
Kutoa ni moyo,wala usipime fadhila,Ukimpa mwenzio kile unchodhani ni sahihi usitegemee fadhila, chakununua  lazima upate bidhaa yake. Upendo ni zaidi ya vile unavyofikilia.
 
Una mkosi wa kukutana na viruka njia. wanawake wenye hashima zetu tunapiga bwana. Ukiona huyo ujue hakutaki anakubore ili umwache. Fanya maamuzi mapema!
Ahsante, angalau umenipa moyo maana jamaa
walivyonishupalia kuwa ni bahili........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…