Hivi mwajiri wa sisi walimu ni nani??

Sasa hapo ndio tutegemee utafundisha watoto zetu utambuzi wakati wewe mwenyewe hujitambui!!?? haya ni maajabu.

tatzo c kufundisha watoto laiti ungekua mwl. Ungejua why nauliza swali hili. C tatzo lako kwan haujui na hujui kama haujui.
 
na ndio maana
nikauliza swali coz cku hz hata madiwan wanajifanya waajiri manyanyaso
yamezidi

achana na madiwani ambao wamechaguliwa kwa umaarufu waliokuwa nao mitaani,anaweza kuwa hata ni mcheza drafti maarufu watu wakampa udiwani...Ualimu ni proffesional na sio umaarufu.
 
achana na madiwani ambao wamechaguliwa kwa umaarufu waliokuwa nao mitaani,anaweza kuwa hata ni mcheza drafti maarufu watu wakampa udiwani...Ualimu ni proffesional na sio umaarufu.

tena huyu wa kata ye2 2mepanga tuhame wote afundishe yeye coz anaingilia mambo yacyomuhusu.
 
na ndio maana nikauliza swali coz cku hz hata madiwan wanajifanya waajiri manyanyaso yamezidi

diwan hajifanyi mwajiri wako mkuu ila yy ni muhimiza maendeleo wa kata kwasababu ni mjumbe wa WDC ,hivyo ni jukumu lake kuwabana maMEK na walim wote katani kwake ili wawajibike vyema!!....muajiri wako ni yule alieainishwa kwenye barua yako ya ajira ambae ni DED!
 
mwajiri wako ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri yako ya wilaya
 
Wizara ya elimu huko kwingine ni kulelewa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

kuhmiza cjakataa ila anatabia ya kufuatilia hadi darasan mwl ukifundisha tena ukiwa haufungaman na magamba yan mtaan hauish kwa amani
 
kuhmiza cjakataa ila anatabia ya kufuatilia hadi darasan mwl ukifundisha tena ukiwa haufungaman na magamba yan mtaan hauish kwa amani

hahaha!km anataka kukuletea maishu ya siasa hapo atakua anakiuka sheria na taratib zake!yy kaz yake ni kufanya follow up katani kwake ktk shughuli zote za kimaendeleo ikiwa ni pamoja na elim!

Km anakutaka uwe magamba hapo anavunja haki zako za kikatiba!!
 

Yeye mwenyewe hajui kusoma na kuandika anahimiza nn sa ss hapo
 

na ndio maana 2meshaandika barua za kuomba uamisho karibia walimu wote vijana wa secondar na mcngi piia 2namuacha afundishe mwenyewe.
 
N mkurugenz kijana, kwa niaba ya wizara na yy ndo anao uwezo wa kukucmamisha/kkfukuza kaz km mwajir wko.

Point of Correction, Mkurugenzi ni Mwajiri wa Mwalimu lakini Mamlaka ya Ajira ni TSD. Mwl anapewa barua ya ajira na kuthibitishwa kazini na TSD. Na masuala yote ya nidhamu yanashughulikiwa na TSD ikiwemo kusimamishwa na kufukuzwa kazi na hata authority ya kumpandisha mwalimu cheo ipo TSD.
 

kweli.
 

Umeeleweka diwani..(haa haaa haaa,only a joke mkuu)
 
Katika moja ya sababu za msingi kwa kufeli f4 2012 hili ni swala la msingi, wakati walimu wa sekondari wakiwa moe, everthing were going smoothly, right now kila mtu ni Mungu mtu(Afisa elimu,Taaluma,Mhasibu mpaka PS). Yapo madai mengi toka mwaka 2000, ukidai leo unaabiwa nenda wizarani(moe), na moe nao wanasema mafaili yapo Tamisemi, tamisemi anajibu nenda kwa mkurungenzi wako(INAUMA SANA) mwisho wa siku huna msaada wowote. Upo umuhimu wa kuwa na Bodi ya Walimu Tanzania, kiwe chombo pekee cha utendaji, mtu akiwa mzembe OUT. Nawasilisha.
 

katika watu walionielewa vizuri ktk swali langu ni wewe safi Bodi itasaidia kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…