JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
mkuu huwa una madongo weyeAtaendelea kushika chaki tu.
Unaweza kuwa mkuu wa shule,afisa elimu ua sehemu yoyote inaitaji mtu wa kada hiyo.
Jukwaa la elimu si sehemu ya madongo Zero zero sven ila ni ufinyu wa fikira tu.