Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??

Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??

Sio mimi, kuna kijana wa jirani yangu ndio kachagulia kwenda chuo kikuu akitokea diploma.
Sasa amechaguliwa vp kwenda chuo bila kuwa na AVN/transcript.?
Anyway, AVN ni mbadala wa transcript hvy ukiwa na AVN unaenda chuo fresh kabisa
 
Back
Top Bottom