Heri ya Xmass wadau wa JF?!!
SWALI: Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia. Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio?
Sasa utafute pesa kwa ajili ya kumtidhisha mwanamke?Mzee tafuta pesa na umpe mapenzi motomoto.
Kiasi atakuelewa.
Wanapenda vyote