Hivi mwanamke huwa anaingia Ovulation mara ngapi ktk mzunguko wake mmoja??

The Wisdom

Senior Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
182
Reaction score
56
Habar wakuu kama Title yangu inavyojieleza
nimesikia kuwa kutokana mwanamke ana wayai mawili
so naomba kujua baada ya bleeding haya wayai huwa yanaachana kwa mda gani?
Au moja mwezi huu na yai jingine mwezi ujao?
Wife kaanza bleed 27-29/06
so nisaidieni lini na lini hayo mayai yanatoka???
Nawasilisha!!
 
Msaada plz Drs!!

Habari yako,
Kawaida mwanamke huwa aningia ovulation mara moja tu kwa kila mzunguko wake, yaani hupevusha yai moja tu...

Sio kweli kwamba mwanamke ana mayai mawili tu, bali ana ovaries mbili tu moja upande wa kulia na nyingine upande wa kushoto...

Kawaida hizi ovaries huwa zinapokezana kwenye kupevusha mayai, kama mwezi huu yai lilipevuka kulia basi mwezi unaofuata yai litapevuka kutoka upande wa kushoto...

9900729_orig.jpg
 
Wife kaanza bleed 27-29/06
so nisaidieni lini na lini hayo mayai yanatoka???

Kabla ya kujibu swali lako, labda utusaidie nasi kujibu hili swali ndio itakuwa rahisi kukupa jibu stahiki...Je mkeo ana mzunguko wa siku ngapi kwa jumla?
 
Siku 28!
 
Okay mkuu,

Kawaida siku ambayo yai hupevuka na kushuka kuelekea mji wa mimba "Ovulation" ni siku ya 14 kabla ya siku ya mwisho ya mzunguko wake.

Mathalani;
mtu mwenye jumla ya siku 28, basi ovulation kwake hutokea siku ya 28 kutoa siku 14 [ 28 - 14 = 14]
mtu mwenye jumla ya siku 29, basi ovulation kwake hutokea siku ya 29 kutoa siku 14 [ 29 - 14 = 15]
mtu mwenye jumla ya siku 30, basi ovulation kwake hutokea siku ya 30 kutoa siku 14 [ 30 - 14 = 16]

nakadhalika na kadhalika....

Sasa wakati mzuri wa kufanya mapenzi kwa wale watafutao mtoto, iwe ni siku tatu kabla ya ovulation, siku ya ovulation yenyewe na siku tatu baada ya ovulation.

Kwa maelezo zaidi fungua huu uzi hapa chini, kuna mdada mmoja tulishawahi kumpa ushauri na mambo yake yakatick...

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/418487-msaada-tarehe-ya-kupata-mimba.html
 
nashukuru mkuu nimekupa feedback muhimu mwisho wa siku!!
 
Labda kwa kukuongezea tu, kwa kuwa mkeo ana mzunguko wa kawaida ambao ni siku 28 basi most likely ataovulate siku ya 14.
Siku huwa zinahesabiwa kuanzia siku ya kwanza ile ambayo mwanamke anapata bleed...
 
Nashukuru sana mkuu ubarikiwe!!
 
Labda kwa kukuongezea tu, kwa kuwa mkeo ana mzunguko wa kawaida ambao ni siku 28 basi most likely ataovulate siku ya 14.
Siku huwa zinahesabiwa kuanzia siku ya kwanza ile ambayo mwanamke anapata bleed...

umetisha Mkuu hapa nimejifunza kitu, maana mim hiyo siku ya 14 mimi ndo nilikuwa namuomba game wife kumbe mchaka mchaka unatakiwa atleasta 3dyz nyuma!
Thnx!!
 
Kuwa na uhakika zaidi ni vyema kuanza mapema na kuendelea siku chache baada ya ovulation...
Nimeandika hivyo kwa kuwa wakati mwingine hutokea kuwa ovulation hubadilika, na husababishwa na vitu kadhaa kama mabadiliko ya mazingira na hali ya hewa, mabadiliko ya utowaji wa hormones mwilini n.k

darasa la bure umenifunza sana mkuu tulipima Dr atuambia sasa hamna matatzo yoyote
lkn mwanzo wfe alikuwa na hayo hayo matatzo ya kimazingira/kuhama kutoka mwingine kuja hapa tunako ishi sasa!!
Tokea amesema ninyi ni wazima
kumbe kuna makosa ya kiufundi yalikuwa yanatokea hasa kukutana siku ya mwisho ovulation!!!
Stay blessd!!
 
Back
Top Bottom