HIVI MWANAMKE ILI UONEKANE MREMBO NI LAZIMA UJITOBOE TOBOE MWILINI?

HIVI MWANAMKE ILI UONEKANE MREMBO NI LAZIMA UJITOBOE TOBOE MWILINI?

Man Middo tz

Senior Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
182
Reaction score
279
Sina Nia ya kuishusha heshima na thamani ya mwanamke! Ila najiuliza...

Hivi mwanamke ili uonekane mrembo ni lazima ujitoboe toboe kila sehemu ya mwili wako?

Dada yangu Ili uonekane Unique ni lazima ujitoboe toboe mwilini?

Ili uonekane ki-fashion ni lazima ujitoboe toboe mwilini?

Kama sio hivyo kwanini Dada zangu mnafanya hivi? Ili uonekane Expensive sana au tukuone kuwa pesa unayo?
***
Thamani ya mwanamke inazidi kushuka, saivi majina ya hovyo yote wanapewa wadada. Wanaojitoboa saiv baadala ya kuonekana expensive ndio wanaonekana Cheap.

Chura ndio jina lao saiv, na wenyewe wameridhika nalo na wamekubali.
[emoji1427]
Mwili wa mwanamke ni wathamani sana, mwili wa mwanamke ni wakupewa heshima na kila mtu.

Dada zangu ipeni thamani na muiheshimu mili yenu kabla wanaume hawajafanya hivyo.

Take note and take action
@middotz_[emoji1607] was here.
1670827192690.jpg
 
Kama ni furaha yaje mwache tu, kwanini uumie kwa maaumizi binafsi ya mtu mwingine asiekuhusu.
 
Back
Top Bottom