Baikal Aguido
Member
- Jul 13, 2009
- 13
- 1
GOD forbide!!!!!!!!!!!!!!!!! this does not wash,society is losing its bearingsHamana tatizo kwa Mwanamke kuwa na nyumba ndogo iwapo kama Mr. anayo. Tena haina haja yakukasirikiana na kuwa na jazba eti kuona Mr. anayo then na wewe uende kwa maasira kutafuta ya kwako. Cha msingi a woman should just be patient watakuja tuu kwa wingi kumtongoza na kumuomba huo urafiki. Nasema hivi unajua pale mapenzi yanapopungua au kutoweka kabisa...kuna chemistry fulani hutokea kwa mwanamke na automatically wanaume huanza kumtongoza hapa na pale. Sasa ni juu yake kukubaliana nao au kukataa.
Hamana tatizo kwa Mwanamke kuwa na nyumba ndogo iwapo kama Mr. anayo. Tena haina haja yakukasirikiana na kuwa na jazba eti kuona Mr. anayo then na wewe uende kwa maasira kutafuta ya kwako. Cha msingi a woman should just be patient watakuja tuu kwa wingi kumtongoza na kumuomba huo urafiki. Nasema hivi unajua pale mapenzi yanapopungua au kutoweka kabisa...kuna chemistry fulani hutokea kwa mwanamke na automatically wanaume huanza kumtongoza hapa na pale. Sasa ni juu yake kukubaliana nao au kukataa.
"Jino kwa Jino" or to put it in a better wording "akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia"
Hamana tatizo kwa Mwanamke kuwa na nyumba ndogo iwapo kama Mr. anayo. Tena haina haja yakukasirikiana na kuwa na jazba eti kuona Mr. anayo then na wewe uende kwa maasira kutafuta ya kwako. Cha msingi a woman should just be patient watakuja tuu kwa wingi kumtongoza na kumuomba huo urafiki. Nasema hivi unajua pale mapenzi yanapopungua au kutoweka kabisa...kuna chemistry fulani hutokea kwa mwanamke na automatically wanaume huanza kumtongoza hapa na pale. Sasa ni juu yake kukubaliana nao au kukataa.
Penny naungana nawe katika hilo la chemistry jamani mie wakati napendwa yaani sikuwa na hata wa kunipa dada hujambo yaani hata nizunguke mjini siku nzima......... Sasa yalivyopungua lol yaani hadi kwero- Hivi kwa nini Penny lol
Baba Enock mie nlikuwa najua hizi zina maana tofauti
Jino kwa jino ni kama akikupiga la kushoto we mpige la kulia no?
Mwanajamii1,
Kupendwa kuna maana nyingi sana!
"Ulipokuwa unapendwa":-
1. ulitumia muda mwingi kufikiria "mpenzi" wako
2. ulitumia "resources" nyingi kumridhisha "mpenzi" wako
3. ulifanya mambo yote kwa umakini sana usimkwaze "mpenzi" wako
4. e.t.c
In the process of doing 1,2,3 ... above unakuwa exhausted, stressful, ... and ultimately ule "uzuri" wako unapungua exponentially halafu una-tend kuwa "serious" and "reserved" kwa watu wa jinsia tofauti.
Sasa pale inapotokea "kupendwa" kunaanza kupungua, na wewe automatically unaaza ku-react in different way kwenye 1,2,3.... na matokeo yake unaanza "kupendenza"....
Haya jameni... by the way nyumba ndogo siku hizi ni "fasheni", either kwa mwanamume au kwa mwanamke.
Weekend hii nilikuwa baa moja napata "kili baridi" maeneo ya sinza, wanywaji wote waliookuwa "coupled" hawakuwa mtu na mke wa ndoa, ingawaje wote walikuwa wameoa au wameolewa!
Ni suala la mila zaidi.Wanaume toka zamani ilikuwa sio tatizo kuoa na kutembea na wanawake zaidi ya mmoja. Isipokuwa leo hii hata kama mtazamo uko hivyo, mbona sioni tofauti kati ya wanaume na wanawake kwenye suala la nyumba ndogo?Wanawake nao wameamua ati kuingia katika fani.Kwa yale ninayoyaona, mimi hata nikitembea nimeweka % fulani kwamba mke wangu pia ana nyumba ndogo. Vinginevyo ntajakufa na pressure buree na mambo yanayoendelea ulimwengu wa leo.LolHili ni swali hususan kwa kaka zetu.
Hivi sasa inaonekana ni hali ya kawaida na ni kama haki ya msingi kwa mume au wachumba jinsia ya kiume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Wakati huohuo, binti au mke anapokuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya mpenzi'ye au mumewe huwa anaonekana kama doa katika jamii.
Swali langu ni hivi, je tatizo liko wapi katika hili?

Hili ni swali hususan kwa kaka zetu.
Hivi sasa inaonekana ni hali ya kawaida na ni kama haki ya msingi kwa mume au wachumba jinsia ya kiume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Wakati huohuo, binti au mke anapokuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya mpenzi'ye au mumewe huwa anaonekana kama doa katika jamii.
Swali langu ni hivi, je tatizo liko wapi katika hili?
Penny naungana nawe katika hilo la chemistry jamani mie wakati napendwa yaani sikuwa na hata wa kunipa dada hujambo yaani hata nizunguke mjini siku nzima......... Sasa yalivyopungua lol yaani hadi kwero- Hivi kwa nini Penny lol
kha! umepikiwa, umepakuliwa sasa mpaka ulishwe! haya basi jibu ni si dhambi kabisa endapo mwenzake hamtekelezei...hujajibu swali